Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma maelezo baada ya kufungua pazia kuashiria Ufunguzi wa Skuli ya msingi Mwambe Mkoa wa Kusini Pemba leo, katika shamra shamra za maadhimisho ya sherehe za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi (wa tatu kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akikata utepe kufungua Skuli ya msingi Mwambe Mkoa wa Kusini Pemba leo, katika shamra shamra za maadhimisho ya sherehe za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa(katikati) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa (wa pili kushoto)alipotembelea madarasa baada ya kuifungua Skuli ya msingi Mwambe Mkoa wa Kusini Pemba leo, katika shamra shamra za maadhimisho ya sherehe za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(wa pili kulia) Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) wakifuatana na Viongozi, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba ndg.alipotembelea Skuli ya msingi Mwambe Mkoa wa Kusini Pemba,baada ya kuifungua leo, katika shamra shamra za maadhimisho ya sherehe za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Mwambe Mkoa wa Kusini Pemba leo katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya msingi Mwambe katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na Viongozi na Wananchi wa Mwambe na Vijiji jirani Mkoa wa Kusini Pemba leo katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya msingi Mwambe katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Baadhi ya Wananchi wa Mwambe na Vijiji jirani Mkoa wa Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza nao leo katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya msingi Mwambe katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisalimiana na Mzee Ali Hamad Makame aliyefika katika katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya msingi Mwambe katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisalimiana na wanafunzi Maryam Juma Kassim na Khannat Suleiman Bendu waliohani utenzi katika katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya msingi Mwambe katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Picha na Ikulu