Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Ukumbi wa Umoja Ni Nguvu Mkoani Pemba jana kwa jili ya Kugawa vifaa vya Uvuvi kwa vikundi wa ukulima wa Mwani,katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya mapinduzi matukufu ya Zanzibar,.[Picha na Ikulu] 01/01/2023.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto) akimkabidhi Boti na Mashine Katibu wa Kikundi cha Mwanzo Mgumu Kisiwapanza Bi.Fatma Mshamara (kushoto) katika hafla ya kugawa vifaa vya Uvuvi wa Mwani kwa vikundi katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Umoja Ni Nguvu Mkoani Pemba jana katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/01/2023. Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto) akimkabidhi Vifaa vya mwani na mashine ya kutengenezea sabuni ya mwani Katibu wa Kikundi cha Kihogoni Kendwa Ndg.Hidaya Ali Salim (katikati) katika hafla ya kugawa vifaa vya Uvuvi wa Mwani kwa vikundi katika Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Umoja ni Nguvu Mkoani Pemba katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,.[Picha na Ikulu] 01/01/2023. Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi Mkoba wenye mabuku,viatu pamoja sare za skuli Mtoto Ismail Suleiman Ali Chake chake katika hafla ya kugawa vifaa vya watoto mayatima wa Wilaya za Chakechake na Micheweni Mikoa wa Pemba ,hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Makonyo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/01/2023.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi alipokuwa akizungumza na Wananchi pamoja na Watu wenye mahitaji maalum na Watoto yatima katika hafla ya kugawa vifaa mbali mbali vikiwemo viti vya magurudumu,Fimbo kwa watu wasioona,Magodoro na Fomu za Skuli pamoja na mikoba kwa watoto mayatima Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba na Micheweni kaskazini ,hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Makonyo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/01/2023. Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi alipokuwa akimkabidhi Fimbo (White cane) Bi.Habiba Nassib Makame Gongomawe wa Wilaya ya Chake chake mwenye tatizo la kutoona katika hafla ya kugawa vifaa mbali mbali vikiwemo viti vya magurudumu,Fimbo (White cane) kwa watu wasioona,Magodoro na Fomu za Skuli pamoja na mikoba kwa watoto mayatima Wilaya za Chakechake na Micheweni Mikoa wa Pemba ,hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Makonyo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/01/2023. Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi alipokuwa akizungumza na Wananchi pamoja na Watu wenye mahitaji maalum na Watoto yatima katika hafla ya kugawa vifaa mbali mbali vikiwemo viti vya magurudumu,Fimbo kwa watu wasioona,Magodoro na Fomu za Skuli pamoja na mikoba kwa watoto mayatima Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba na Micheweni kaskazini ,hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Makonyo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/01/2023