2022
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
ASHINDWA KUWEKEZA KUTOKANA NA MGOGORO YA ARDHI MLIMBA.
******************* NA FARIDA MANGUBE. MOROGORO MWEKEZAJI katika kijiji cha Merela Kata ya Chita katika halmashauri ya Wilaya ya Mlimba Mkoani Morogoro ameshindwa kuendelea na…
NMB YAKABIDHI VYA KUSAIDIA MAENDELEO YA ELIMU VYENYE THAMANI YA SHIL. MILIONI 37 KIBAHA
Mkuu wa Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, Sara Msafiri, akiangalia kabati za kuhifadhia vitabu zilizotolewa kwa Shule ya Msingi Sofu sh. Milioni 37 iliyofanyika…
RAIS DKT. SAMIA ANATAKA KUONA SEKTA YA MIFUGO IKILETA MAPINDUZI YA KIUCHUMI-MAJALIWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano wa Siku Mbili wa Wadau wa Sekta ya Mifugo kwenye ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma, Disemba…
MWENYEKITI MAGANYA -ASISITIZA KUENZIWA KWA WAZEE
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Fadhil Mganya, pamoja na Viongozi wengine wa Jumuiya hiyo wakiomba Dua katika Kaburi la…
WANANCHI WA ILELA WILAYANI LUDEWA WAPATA MAJI SAFI NA SALAMA
Baadhi ya akina mama wa kijiji cha Ilela Halmashauri ya wilaya Ludewa mkoani Njombe ambao hawakufahamika majina yao mara moja,wakichota maji katika moja ya…
DR MPANGO VIONGOZI WA SERIKALI WANACHANGIA KWA KIASI KIKUBWA UHARIBIFU WA MAZINGIRA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akifungua Kongamano la Wahariri na Wadau wa Uhifadhi, Mazingira na utunzaji wa…
WANAHABARI GEITA WAMPONGEZA MHE. SENYAMULE
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule akipokea hati ya pongezi kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari wa Mkoa wa…
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI YA CCM TAIFA IKULU ZANZIBAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Bi.Dogo Iddi Mbarouk akizungumza…
TUSHIRIKIANE KUTOA ELIMU DHIDI YA VITENDO VYA UKATILI WA KIJINSIA; PROF. OLE GABRIEL
Na Magreth Kinabo – Mahakama Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel amewaomba wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini…