2022
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
OSHA YAAGIZWA KUPANUA WIGO WA PROGRAMU ZA WAJASIRIAMALI WADOGO
******************* Na Mwandishi Wetu Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umegizwa kupanua wigo wa programu atamizi za wajasiriamali wadogo ili waweze…
WADAU WA SEKTA YA VIAZI WAKUTANA MBEYA KUWEKA MIKAKATI YA KUONGEZA UZALISHAJI NCHINI
Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Mheshimiwa Wiebe de Boer (Kulia), na Mkuu wa mkoa wa Mbeya,Mh.Juma Homera (kushoto) wakizindua machapisho ya kutoa elimu ya uzalishaji…
RAIS DKT. MWINYI APONGEZWA NA WAUGUZI KATIKA SHEREHE ZA MIAKA MIWILI YA UONGOZI WAKE KUTIMIZA MIAKA MIWILI
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa sherehe za kupongezwa zilizoandaliwa na Wauguzi wa Zanzibar kwa…
WAZIRI MHAGAMA AITAKA TAKUKURU KUTANGAZA MIKOA INAYOONGOZA KWA RUSHWA NCHINI
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama,akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wenye…
RAIS DKT. MWINYI ASHIRIKI MAZIKO YA SHEIKH ALI RIJALI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akitia udongo kama ishara ya kumzika Marehemu Sheikh Ali Rijali alipojumuika na…
RAIS DKT. SAMIA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI WA SGR KIPANDE CHA TABORA – KIGOMA (KM 506), IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha…
RAIS DKT.SAMIA AWAAPISHA MAKATIBU WAKUU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Hashil Twaib Abdallah kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na…
WAJASIRIAMALI WADOGOWADOGO WATAKIWA KUJIUNGA NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM Kwa kiasi kikubwa Wajasirimali wadogowadogo nchini wamekuwa hawajajiunga na Mifuko ya Uhifadhi wa Jamii kutokana na uelewa mdogo…
BODI YA EWURA YAFANYA ZIARA YA KIKAZI KATIKA MIUNDOMBINU YA KUHIFADHIA MAFUTA TIPER
Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), leo Tar.20/12/2022, imefanya ziara ya kikazi katika miundombinu ya kuhifadhia…