2022
Latest updates on ministries, public service, parliament, policy decisions, and national administration.
WAZIRI TABIA KUFANYA ZIARA ZA KUSHITUKIZA
NA MWANDISHI WETU WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar, Tabia Mauld Mwita, ameahidi kuvalia njuga changamoto zinazowakabili waandishi wa habari wa vyombo…
KANISA LA ABC LATOA NGUO, MCHELE KWA WAJANE, WAGANE JIJINI DAR ES SALAAM
Askofu Mkuu wa Kanisa la ABC Tanzania lililopo Mtaa wa Mandela jijini Dar es Salaam, Flaston Ndabila (kushoto)) akizungumza na wajane na wagane wakati…
KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA ATEMBELEA WAGONJWA TAASISI YA SARATANI OCEAN ROAD NA KUTOA ZAWADI ZA SIKUKUU KWA WAGONJWA
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi ametembelea wagonjwa wa Taasisi ya Saratani Ocean Road ili kuwajulia hali na kutoa misaada ya sikukuu…
SIMBA SC YAIFUNGA KMC FC 3-1 CCM KIRUMBA MWANZA
******************* NA EMMANUEL MBATILO KLABU ya Simba Sc imefanikiwa kuondoka na alama tatu mbele ya timu ya KMC Fc kwa kuishushia kipigo cha mabao…
WAZIRI MABULA ASHEREHEKEA KRISIMASI NA WAGONJWA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt. Angeline Mabula akikabidhi zawadi za Krisimasi kwa mmoja wa mzazi wa mtoto aliyelazwa katika…
ANGELINE CHRISTMAS BONANZA 2022 LAFANA
**************** Bonanza la sikukuu ya Krismas lililoandaliwa na taasisi ya The Angeline Foundation kwa kushirikiana na ofisi ya mbunge wa jimbo la Ilemela Mhe…
YANGA YAITULIZA AZAM FC MCHEZO WA LIGI KUU
WAKICHEZA bila kiungo wao Fei Toto timu ya Yanga imeichapa Azam FC mabao 3-2 mchezo wa Ligi Kuu ya NBCD uliopigwa uwanja wa Benjamin…
RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AING’ARISHA PWANI KIUCHUMI
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaingia katika historia kubwa katika nchi hii kwa moyo wake thabiti wa kuipaisha Tanzania kiuchumi na kimiundombinu. Dkt. Samia…