Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (wa kwanza kulia) akifungua kitambaa kuashirikia uzinduzi wa Kituo Kikuu cha Polisi cha Wilaya ya Ruangwa, kilichopo Ruangwa Mkoa wa Lindi, Disemba 31, 2022. kushoto ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini, wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack, Mkuu wa Wilaya ya Lindi Hassan Ngoma (kulia), Wengine ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi Hassan Jarufu (wa pili kushoto) na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ruangwa Ibrahim Ndoro (kushoto)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kushoto) akimsikiliza Kamishna Msaidizi wa Polisi Mhandisi Fadhili Majid Ishekazoba (wa tatu kulia) wakati wa uzinduzi wa Kituo Kikuu cha Polisi cha Wilaya ya Ruangwa, kilichopo Ruangwa Mkoa wa Lindi, Disemba 31, 2022. kushoto ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini, wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Kituo Kikuu cha Polisi cha Wilaya ya Ruangwa, kilichopo Ruangwa Mkoa wa Lindi, Disemba 31, 2022. kushoto ni Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini, Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack (Kulia). Wengine ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi Hassan Jarufu, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ruangwa Ibrahim Ndoro na Mkuu wa Wilaya ya Lindi Hassan Ngoma (wapili kulia)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua moja ya chumba wakati alipozindua Kituo Kikuu cha Polisi cha Wilaya ya Ruangwa, kilichopo Ruangwa Mkoa wa Lindi, Disemba 31, 2022. Kamishna Msaidizi wa Polisi Mhandisi Fadhili Majid Ishekazoba (kulia)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kushoto) akimkabidhi Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini, pikipiki mbili ambazo zitatumiwa na Polisi wilaya ya Ruangwa katika kutekeleza majukumu mbalimbali wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kituo Kikuu cha Polisi cha Wilaya ya Ruangwa, kilichopo Ruangwa Mkoa wa Lindi Disemba 31, 2022. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack
Muonekano wa Kituo Kikuu cha Polisi cha Wilaya ya Ruangwa ambacho Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekizindua Wilaya ya Ruangwa, Mkoa wa Lindi, Disemba 31, 2022
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuzindua Kituo Kikuu cha Polisi cha Wilaya ya Ruangwa, kilichopo Ruangwa Mkoa wa Lindi, Disemba 31, 2022. 2022 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
…………………..