RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali, ikiwa ni kawaida yake kuzungumza na waandishi kila mwisho wa mwezi, mkutano huo uliyofanyika leo 31-12-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
MWANDISHI wa Habari Mwandamizi Tanzania Ndg. Jabir Idrisa akiuliza swali wakati wa mkutano wa Waandishi wa habari na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi uliyofanyika leo 31-12-2022, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
MWANDISHI wa Habari wa Gazeti la Uhuru na Mzalendo Bi. Hanifa Ramadhani akiuliza swali wakati wa Mkutano wa Waandishi wa habari na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi uliyofanyika leo 31-12-2022, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisikiliza maswali yanayoulizwa na Waandishi wa Habari, wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi na waandishi uliyofanyika leo 31-12-2022, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
MWANDISHI wa Habari mwandamizi Zanzibar Ndg. Salum Vuai akiuliza swali wakati wa mkutano wa Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, uliyofanyika leo 31-12-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
WAANDISHI wa Habari wa vyombo mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na waandishi ikiwa ni kawaida yake kila mwisho wa mwezi, mkutano huo uliofanyika leo 31-12-2022, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali ikiwa ni kawaida yake kukutana na Waandishi kila mwisho wa mwezi, mkutano huo uliyofanyika leo 31-12-2022 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
(Picha na Ikulu)