Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Yussuf Masauni(katikati) akizungumza katika Kikao Cha mashirikiano baina ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhusiana na mambo ya kuimarisha Usalama wa Nchi na Mashirikiano ya pamoja kikao kilichofanyika Makao makuu ya Jeshi la Polisi Ziwani Zanzibar.Wa kwanza ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Masoud Ali Mohamed na wa mwisho ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais,Sera ,Uratibu na Braza la Wawakuilishi Hamza Hassan Juma.
Maafisa mbalimbali waliohudhuria katika kikao Cha mashirikiano baina ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhusiana na mambo ya kuimarisha Usalama wa Nchi na Mashirikiano ya pamoja kikao kilichofanyika Makao makuu ya Jeshi la Polisi Ziwani Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera ,Uratibu na Braza la Wawakuilishi Hamza Hassan Juma akijibu baadhi ya maswali yalioulizwa na Waaandishi wa Habari katika kikao Cha mashirikiano baina ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhusiana na mambo ya kuimarisha Usalama wa Nchi na Mashirikiano ya pamoja kikao kilichofanyika Makao makuu ya Jeshi la Polisi Ziwani Zanzibar.
Mwandishi wa Habari wa ITV Farouk Karim akiuliza maswali katika kikao Cha mashirikiano baina ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhusiana na mambo ya kuimarisha Usalama wa Nchi na Mashirikiano ya pamoja kikao kilichofanyika Makao makuu ya Jeshi la Polisi Ziwani Zanzibar.