Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akikagua ubora wa viti na meza z 80 zilizotengenezwa kwa ajili ya shule mpya ya sekondari ya Mkoa wa Ruvuma ya wasichana inayojengwa katika eneo la Migelegele Wilaya ya Namtumbo kwa gharama ya shilingi bilioni tatu.Shule hiyo inatarajia kuanza kuchukua wanafunzi 2023.Pichani kulia mwenye tabasamu ni Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Dkt Julius Ningu