Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi (kulia) ambae pia ni Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) akipokea msaada wa boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket, ambazo zilizotolewa na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng, hafla iliyofanyika leo katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 14/12/2022.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi (kulia) ambae pia ni Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) akibadilishana hati na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng baada ya kutiliana saini, katika hafla ya kukabidhi msaada wa boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket iliyofanyika leo katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 14/12/2022. Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, pia Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) akizungumza machache na kutoa shukurani kwa Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng (kushoto) baada ya kupokea msaada wa boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket katika hafla iliyofanyika leo katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 14/12/2022.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, pia Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation “ZMBF” (katikati) akipokea hundi ya zaidi ya shilingi za Kitanzania Millioni sitini na tano kutoka kwa Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng (kushoto) baada ya kupokea msaada wa boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket katika hafla iliyofanyika leo katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar (kulia) Katibu wa Taasisi ya ZMBF Ndg,Mwanaidi M.Ali.[Picha na Ikulu] 14/12/2022.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi (kulia) ambae pia ni Mwenyekiti wa Tasisi ya Zanzibar Maisha Bora Fondation (ZMBF) akipokea msaada wa kamba na life Jacket ambavo vinaenda sambamba na boti 15 na vifaa vyake pamoja na life Jacket, ambazo zilizotolewa na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng, hafla iliyofanyika leo katika Ofisi za ZMBF Migombani Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 14/12/2022.