Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Shule ya Skondari Majimoto katika Halmashauri ya Mpimbwe akiwa katika ziara ya kikazi ya Mkoa wa Katavi Disemba 14, 2022. Kulia ni Mbunge wa Kavuu na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Geofrey Pinda, kushoto ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi na Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Onesmo Buswelu na wa pili kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kavuu, Catherene Mashala.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Shule ya Sekondari Majimoto katika Halmahauri ya Mpimbwe akiwa katika ziara ya Mkoa wa Katavi, Disemba 14, 2022. Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange, wa nne kushoto ni Mbunge wa Kavuu na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Geofrey Pinda, kushoto ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi na Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Onesmo Buswelu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Mbunge wa Kavuu Geofrey Pinda ambaye pia ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari Majimoto katika Halmashauri ya Mpimbwe akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Katavi Disemba 14, 2022. Wengine kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Katavi, Iddi Kimanta, Diwani wa Kata ya Majimoto, Grace Udoba, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi na Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Onesmo Buswelu, Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange na kulia ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega.
Muonekano wa majengo ya Shule ya Sekondari Majimoto ambayo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliweka jiwe la msingi la ujenzi wake akiwa katika ziara ya Mkoa wa Katavi
Baadhi ya Wananchi wa Kata ya Majimoto katika Halmashauri ya Mpimbwe wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipozungumza. baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sikondari Majimoto akiwa katika ziara ya Mkoa wa Katavi, Disemba 14, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)