BAADHI ya watumishi wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma na TAKUKURU mwanza wameadhimisha siku ya Maadili na Haki za Binadamu kwa kuwatembelea wazee wa kituo cha Bukumbi, Wilayani Misungwi na kuwapatia mahitaji mbalimbali kama picha zinavyoonyesha.