Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya “Zanzibar Maisha Bora Foundation” Mhe.Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma (kulia) alipowasili katika Bustani ya Forodhani kwa ajili ya kuzindua mbio za kilomita kumi,tano wakiwemo na watu wenye ulemavu na pamona na matembezi yaliyotayarishwa na Taasisi ya Smile for Community kuanzia Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya “Zanzibar Maisha Bora Foundation” Mhe.Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Katibu Mkuu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Ndg,Abeda Rashid Abdalla (kulia) alipowasili katika Bustani ya Forodhani kwa ajili ya kuzindua mbio za kilomita kumi,tano wakiwemo na watu wenye ulemavu na pamona na matembezi yaliyotayarishwa na Taasisi ya Smile for Community kuanzia Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi akifyatua bastola kama ishara ya kuzindua mbio za kilomita kumi samba na kilomita tano wakiwemo na watu wenye ulemavu na pamona na matembezi yaliyotayarishwa na Taasisi ya Smile for Community kuanzia Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.
Wanariadha wa mbio za Kilomita tano sambamba na matembezi, ambapo wakiwemo na watu wenye ulemavu tafauti wakijitayarisha kabla mbio hizo kuzinduliwa leo na Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi,ambapo taasisi ya Smile for Community iliyoandaa matembezi hayo kuanzia Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi (katikati) akishiriki katika matembezi ya Kilomita tano yaliyotayarishwa na Taasisi ya Smile for Community Chini ya Mkurugenzi Mtendaji Ndg,Flora Njelekela (wa tatu kushoto) pamoja na Viongozi mbali mbali na wananchi kuanzia Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi (katikati) na Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui pamoja na Viongozi mbali mbali na Wananchi wakishiriki katika matembezi ya Kilomita tano yaliyotayarishwa na Taasisi ya Smile for Community Chini ya Mkurugenzi Mtendaji Ndg,Flora Njelekela (wa tatu kushoto) kuanzia Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.[
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi (katikati) akijumuika na wananchi mbali mbai na Viongozi walioshiriki katika matembezi ya Kilomita tano kuanzia Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar,ambapo Taasisi ya Smile for Community Chini ya Mkurugenzi Mtendaji Ndg,Flora Njelekela (wa pili kushoto) imetayarisha matembezi hayo pamoja na mbio za Kilomita kumi,tano wakiwemo na Watu wenye Ulemavu tafauti .
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma (kulia) mara baada ya kumalizika kwa matembezi kilomita tano yaliyofanyika leo sambamba na mbio Kilomita tano na kumi hafla iliyotayarishwa na Taasisi ya Smile for Community kuanzia Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi (kushoto) akivalishwa nishani na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Smile for Community Ndg. Flora Njelekela mara baada ya kumalizika kwa matembezi kilomita tano,mbio Kilomita tano na kumi yaliyotayarishwa na Taasisi ya Smile for Community kuanzia Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.
Waziri wa Habari,Vijana ,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita akizungumza na wanamichezo kwa niaba ya Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe.Mama Mariam Mwinyi baada ya kumalizika kwa matembezi kilomita tano,mbio Kilomita tano na kumi yaliyotayarishwa na Taasisi ya Smile for Community kuanzia Ngome Konge,Mlandege hadi Viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu