Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Lindi alipowasili katika uwanja wa Ilulu kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani Kitaifa
Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Mkoa Lindi wakiwa kwenye Uwanja wa Ilulu kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akiwahutubia kwenye Siku ya Ukimwi Duniani ambayo Kitaifa imefanyika Mkoani humo