Home Siasa MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WAZAZI WAFANYIKA JIJINI DODOMA

MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WAZAZI WAFANYIKA JIJINI DODOMA

0

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Ndugu Adam Kimbisa (kulia) muda mfupi kabla ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa kumi wa Jumuiya ya Wazazi uliofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiteta jambo na Katibu Mkuu wa chama hicho Ndugu Daniel Chongolo (kushoto) muda mfupi kabla ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa kumi wa Jumuiya ya Wazazi uliofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.

Baadhi ya wajumbe wa mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wakiwa kwenye shangwe ikiwa sehemu ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa kumi wa Jumuiya ya Wazazi uliofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.