Home Michezo WACHEZAJI WA BUNGE SPORTS CLUB WAWASILI SUDAN KUSINI KUSHIRIKI MASHINDANO YA MICHEZO...

WACHEZAJI WA BUNGE SPORTS CLUB WAWASILI SUDAN KUSINI KUSHIRIKI MASHINDANO YA MICHEZO YA MABUNGE YA AFRIKA MASHARIKI

0

Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu kwa niaba ya Spika wa Bunge akiwakabidhi bendera ya Bunge Wachezaji wa Bunge Sports Club wanaoelekea nchini Sudan Kusini kushiriki katika michezo ya 12 ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Tukio la kuwaaga Wachezaji hao limefanyika katika Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.

Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu  kwa niaba ya Spika wa Bunge  akiwaaga Wachezaji wa Bunge Sports Club wanaoelekea nchini Sudan Kusini kushiriki katika michezo ya 12 ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Tukio la kuwaaga Wachezaji hao limefanyika katika Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Bunge Sports Club, Mheshimiwa Tarimba Abbas akizungungumza wakati wakuwaaga Wachezaji wa Bunge Sports Club wanaoelekea nchini Sudan Kusini kushiriki katika michezo ya 12 ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Tukio la kuwaaga Wachezaji hao limefanyika katika Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.  

Wachezaji wa Timu ya Bunge Sports Club wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Juba nchini Sudan kwa ajili ya kushiriki katika michezo ya 12 ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inategemewa kufunguliwa kesho tarehe 24 Novemba, 2022 na kumalizika tarehe 2 Disemba nchini hapa.