Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiagana na Viongozi mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,leo akiondoka kuelekea Dodoma kushiriki vikao vya Chama cha Mapinduzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiagana na Viongozi mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, leo akiondoka kuelekea Dodoma kushiriki vikao vya Chama cha Mapinduzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Jiji la Dodoma leo,ambapo kesho atashiriki kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa kitakachofanyika Chamwini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Jiji la Dodoma leo,ambapo kesho atashiriki kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa kitakachofanyika Chamwini.[Picha na Ikulu