ALHAJ Adam Kimbisa ameshinda nafasi ya Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma mara baada kutangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi huo.
Alhaj Kimbisa ameibuka Mshindi baada ya kupata kura 902 na kumshinda Godwin Mkanwa aliyekuwa akitetea nafasi hiyo kwa kupata kura 290 huku Brigedia Jenereli Agustino Gailonga amepata kura 16
Matokeo hayo yametangazwa na Msimamizi wa uchaguzi Maalim Kombo katika uchaguzi uliofanyika leo Novemba 21,2022 jijini Dodoma