Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wakubwa Benki ya CRDB, Jacob Nangi
(kushoto) akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Balozi
Abdallah Possi, aliyetembelea banda la Benki ya CRDB katika maonyesho
yanayoenda sambamba na Mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mabalozi, unaofanyika kwenye
hoteli ya Velde, Unguja Zanzibar. Benki ya CRDB ni mmoja wa wadhamini wa
mkutano huo ulioanza Novemba 14 hadi 21, 2022. Kulia ni Meneja
Mwandamizi Uhusiano wa Biashara wa Benki ya CRDB, Lulu Melo.
Balozi wa Tanzania nchini Jamhuri ya Congo, Balozi Said Mshana, akizungumza na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Wakubwa Benki ya CRDB, Jacob Nangi wakati alipotembelea banda la Benki ya CRDB katika maonyesho