Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza wakati wa Semina ya Wajumbe wa Tume ya Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Jeshi la Uhamiaji inayoshughulikia masuala ya Kiutumishi na Kiutendaji wa Askari katika Majeshi hayo, iliyofanyika Ukumbi wa Tanapa, jijini Dodoma, leo. Wapili Kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Maduhu Kazi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, akizungumza katika Semina ya Wajumbe wa Tume ya Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Jeshi la Uhamiaji inayoshughulikia masuala ya Kiutumishi na Kiutendaji wa Askari katika Majeshi hayo, iliyofanyika Ukumbi wa Tanapa, jijini Dodoma, leo. Katikati meza kuu ni Waziri Hamad Masauni, Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Maduhu Kazi pamoja na Wakuu wa Vyombo vya Usalama vya Wizara hiyo.
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Maduhu Kazi akizungumza katika Semina ya Wajumbe wa Tume ya Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Jeshi la Uhamiaji inayoshughulikia masuala ya Kiutumishi na Kiutendaji wa Askari katika Majeshi hayo, iliyofanyika Ukumbi wa Tanapa, jijini Dodoma, leo. Katikati meza kuu ni Waziri Hamad Masauni, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini, Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Maduhu Kazi (watatu kulia) pamoja na Wakuu wa Vyombo vya Usalama vya Wizara hiyo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati meza kuu), akimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Camilius Wambura alipokuwa akizungumza katika Semina ya Wajumbe wa Tume ya Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Jeshi la Uhamiaji inayoshughulikia masuala ya Kiutumishi na Kiutendaji wa Askari katika Majeshi hayo, iliyofanyika Ukumbi wa Tanapa, jijini Dodoma, leo. Wapili Kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Maduhu Kazi.
Mtoa mada ambaye pia ni Afisa Sheria wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Berious Nyasebwa akitoa mada kuhusu masuala ya Kiutumishi na Kiutendaji wa Askari wakati wa Semina ya Wajumbe wa Tume ya Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Jeshi la Uhamiaji iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Tanapa, jijini Dodoma, leo.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati meza kuu) pamoja na Wajumbe wa Tume ya Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Jeshi la Uhamiaji wakisikiliza mada iliyowasilishwa na Afisa Sheria wa Wizara hiyo, Berious Nyasebwa kuhusu masuala ya Kiutumishi na Kiutendaji wa Askari katika Majeshi hayo, iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Tanapa, jijini Dodoma,
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati), akimsikiliza Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Wizara hiyo, Flora Mrope alipokuwa akifafanua jambo kabla ya kuanza kwa Semina ya Wajumbe wa Tume ya Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na Jeshi la Uhamiaji iliyofanyika Ukumbi wa Tanapa, jijini Dodoma, leo. Wapili kushoto ni Naibu Waziri, Jumanne Sagini, wapili kulia ni Kaimu Katibu Mkuu, Dkt. Maduhu Kazi na Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Miriam Mmbaga. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.