Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Nachingwea mkoani Lindi, Novemba 17, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Teleck aliyetoa taarifa ya Mkoa huo wakati Waziri Mkuu alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Nachingwea Mkoani Lindi Novemba 17, 2022. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu)