RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Amiri wa Jumuiya ya Kuhifadhisha Quran Zanzibar.Mwalimu.Suleiman Omar Ahmed, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungmzo akiwa na ujumbe wa Jumuiya hiyo walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliyofanyika leo 9-11-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Jumuiya ya Kuhifadhisha Quran Zanzibar ukiongozwa na Amiri wa Jumuiya hiyo..Mwalim Suleiman Omar Ahmed,(kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 9-11-2022.(Picha na Ikulu)