NAIBU Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar pia Mjumbe wa Bodi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation “ZMBF” Mhe.Mgeni Hassan Juma alipokuwa akitoa hutuba wakati alipomuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation “ZMBF” katika ugawaji wa Vifaa vya Kilimo cha mwani Kijiji cha Muungoni Wilaya ya Kusini Unguja leo.

NAIBU Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar pia Mjumbe wa Bodi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation “ZMBF” Mhe.Mgeni Hassan Juma (wa pili kushoto) akimuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation “ZMBF” akimkabidhi Mwenyekiti wa Kikindi cha “Flower Group” Bibi Zuwena Talib Suleiman kwa niaba ya vikundi vya kijiji cha Muungoni akipokea Vifaa mbali mbali vya kilimo cha mwani hafla iliyofanyika leo maeneo ya ufukwe wa pwani ya Muungoni.
NAIBU Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar pia Mjumbe wa Bodi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation “ZMBF” Mhe.Mgeni Hassan Juma (wa pili kulia) alipokuwa akikabidhi mashine ya Boti pamoja na Boti yake kwa Mwenyekiti wa Kikindi cha “Flower Group” Bibi Zuwena Talib Suleiman(kulia) kwa niaba ya vikundi vya kijiji cha Muungoni Wilaya ya Kusini Unguja vilivyotolewa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation “ZMBF”.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation “ZMBF” kwa niaba yake “ Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar pia Mjumbe wa Bodi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation “ZMBF” Mhe.Mgeni Hassan Juma (wa pili kushoto) akiwakabidhi Boti wananchi wa vikundi vya Kilimo cha mwani wa Muungoni Wilaya ya Kusini Unguja katika ziara ya inayoendelea kugawa vifaa kama hivyo kwa Mikoa ya Unguja.[Picha na Ikulu