Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profsa Joyce Ndalichako, Bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum, Kapteni Mstaafu, George Mkuchika Bungeni jijini Dodoma, Novemba 4, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)