Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CWP Africa Region) na Duniani, Mhe. Dkt. Zainab Gimba akiongoza majadiliano katika warsha ya uhamasishaji kwa Wajumbe wa Chama cha Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika kuhusu Wabunge Wanawake katika uongozi na siasa iliyofanyika katika hoteli ya Ramada Jijini Dar es Salaam.
Warsha hiyo inategemea kufanyika kwa muda wa siku mbili na imehudhuriwa na nchi 10 za Afrika.
Mhadhiri Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Ruth Meena akitoa mada kuhusu migogoro Mbalimbali wanayokutana nayo Wabunge wanawake baada ya uchaguzi katika warsha ya uhamasishaji kwa Wajumbe wa Chama cha Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CWP Africa Region) kuhusu Wabunge Wanawake katika uongozi na siasa iliyofanyika katika hoteli ya Ramada Jijini Dar es Salaam.
Warsha hiyo inategemea kufanyika kwa muda wa siku mbili na imehudhuriwa na nchi 10 za Afrika.
Mjumbe wa kamati ya uongozi ya Chama cha Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CWP Africa Region), Mhe. Ndangiza Madina akichangia jambo wakati wa warsha ya uhamasishaji kwa Wajumbe wa Chama cha Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika kuhusu Wabunge Wanawake katika uongozi na siasa iliyofanyika katika hoteli ya Ramada Jijini Dar es Salaam.
Warsha hiyo inategemea kufanyika kwa muda wa siku mbili na imehudhuriwa na nchi 10 za Afrika.
Wajumbe wa Chama cha Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika (CWP Africa Region) wakimsikiliza Mhadhiri Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Ruth Meena akitoa mada kuhusu migogoro Mbalimbali wanayokutana nayo Wabunge wanawake baada ya uchaguzi katika warsha ya uhamasishaji kwa Wajumbe hao kuhusu Wabunge Wanawake katika uongozi na siasa iliyofanyika katika hoteli ya Ramada Jijini Dar es Salaam.
Warsha hiyo inategemea kufanyika kwa muda wa siku mbili na imehudhuriwa na nchi 10 za Afrika.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)