Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji Saini Mkataba wa Makabidhiano wa Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma (VETA) kilichopo Burugo, Nyakato Bukoba kati ya Serikali ya China na Tanzania katika hafla iliyofanyika tarehe 13 Oktoba, 2022 Mkoani Kagera.