Mchezaji wa mchezo wa Pete wa timu ya Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia wenye jezi za zambarai kushoto akiwania mpira dhidi ya wa Wizara ya Sheria na Katiba wakati wa mechi ya Mchezo wa Pete katika michuano ya Shimiwi yanayoendelea kwenye viwanja vya Bandari Jijini Tanga ambapo katika mchezo huo Wizara ya Elimu iliibuka na ushindi wa seti 32-8
Mchezaji wa timu ya Pete wa Wizara ya Wizara ya Sheria na Katiba akiwania mpira dhidi ya wa Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia wakati wa mechi ya Mchezo wa Pete katika michuano ya Shimiwi yanayoendelea kwenye viwanja vya Bandari Jijini Tanga ambapo katika mchezo huo Wizara ya Elimu iliibuka na ushindi wa seti 32-8
Mchezaji wa mchezo wa Netbali wa timu ya Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia wenye jezi za zambarai akijiandaa kufunga bao wakati wa mechi dhidi ya wa Wizara ya Sheria na Katiba katika michuano ya Shimiwi inayoendelea kwenye viwanja vya Bandari Jijini Tanga ambapo katika mchezo huo Wizara ya Elimu iliibuka na ushindi wa seti 32-8
Mchezaji wa mchezo wa Netbali wa timu ya Wizara ya Sheria na Katiba kushoto akifunga moja ya bao la timu hiyo dhidi ya Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia katika michuano ya Shimiwi inayoendelea kwenye viwanja vya Bandari Jijini Tanga ambapo katika mchezo huo Wizara ya Elimu iliibuka na ushindi wa mabao 32-8
Na Oscar Assenga,Tanga