Home Mchanganyiko MWAKILISHI WA SERIKALI YA ZAMBIA ATEMBELEA BANDA LA STAMICO MAONESHO YA MADINI...

MWAKILISHI WA SERIKALI YA ZAMBIA ATEMBELEA BANDA LA STAMICO MAONESHO YA MADINI GEITA

0

Meneja Masoko na Uhusiano wa Shirika la Madini Tanzania STAMICO Bw. Geofrey Meena akikabidhi Bw. Roy Mwinga Mwakilishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara kutoka nchini Zambia mkaa Mbadala ambao umetengenezwa na STAMICO kupitia Makaa ya Mawe ili kutunza mazingira Bw. Roy Mwinga alitembelea katika banda la STAMICO leo Oktoba 1,2022 kwa ajili ya kuona shughuli za shirika hilo kwenye maonesho ya Tano ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika mkoani Geita.

Meneja Masoko na Uhusiano wa Shirika la Madini Tanzania STAMICO Bw. Geofrey Meena akipongezwa na  Bw. Roy Mwinga Mwakilishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara kutoka nchini Zambia baada ya kukabidhiwa mkaa Mbadala ambao umetengenezwa na STAMICO kupitia Makaa ya Mawe ili kutunza mazingira wakati alipotembelea katika banda la STAMICO leo Oktoba 1,2022 kwa ajili ya kuona shughuli za shirika hilo kwenye maonesho ya Tano ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika mkoani Geita.

eneja Masoko na Uhusiano wa Shirika la Madini Tanzania STAMICO Bw. Geofrey Meena akitoa maelezo kwa Bw. Roy Mwinga Mwakilishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara kutoka nchini Zambia alipotembelea katika banda la STAMICO leo Oktoba 1,2022 kwa ajili ya kuona shughuli za shirika hilo kwenye maonesho ya Tano ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika mkoani Geita.

Mhandisi Tiberio Kaduma kutoka Idara ya Uchimbaji mdogo STAMICO akitoa maelezo kwa Bw. Roy Mwinga Mwakilishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara kutoka nchini Zambia alipotembelea katika banda la STAMICO leo Oktoba 1,2022 kwa ajili ya kuona shughuli za shirika hilo kwenye maonesho ya Tano ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika mkoani Geita.