****************
Bondia wa ngumi za kulipwa, Twaha Kiduku, ameshinda Ubingwa wa Afrika/Mabara (UBO Intercontinental Super middle weight) baada ya kumpiga Bondia Abdo Khaled, Raia wa Misri kwa pointi katika pambano la round 10 lililochezwa Mtwara
Twaha Kiduku ameshinda Mikanda miwili ya UBO, mmoja akiwa ameutetea aliokuwa nao