MFUKO
wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umetoa ufafanuzi kuhusu
habari zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikieleza kuwa kuna baadhi ya
viongozi wa Mfuko huo wamejikopesha magari kinyume cha utaratibu kuwa sio za
kweli.
Taarifa
kwa Umma iliyotolewa na Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma wa Mfuko huo, Bw.
James Mlowe na kusambazwa kwenye vyombo vya habari Septemba 23, 2022 imesema.
Taarifa
kamili hii hapa chini.