Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na mabalozi wa Tanzania walioapishwa hivi karibuni, baada ya kuzungumza nao ofisini kwake bungeni jijini Dodoma, Septemba 19, 2022. Kutoka kushoto ni Balozi Simon Siro (Zimbabwe), Balozi Caroline Chipeta (Uholanzi) na Balozi Luteni Generali Mathew Mkingule (Zambia). (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)