Naibu Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Antony Mavunde akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas Tuzo ya Usimamizi Mzuri na Ubora wa zao la korosho katika msimu wa 2021/2022 kwenye hafla iliyofanyika mjini Songea na kushirikisha wadau wa zao la korosho kutoka mikoa 17 nchini