![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2022/09/IMG-20220904-WA0107.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2022/09/IMG-20220904-WA0106.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2022/09/IMG-20220904-WA0089.jpg)
***********************
Na Mwandishi wetu,Handeni
Naibu Waziri Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Ridhiwani Kikwete ameelezea Ushiriki wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii na kuwahakikishia Wabunge , WanaMsomera ,huko Handeni wako salama sana.
Pia amewaasa Viongozi ngazi ya Wilaya na Mkoa kusimamia Mipango iliyowekwa.
Katika msafara huo walifuatana na Mh. Pindi Chana, Waziri wa Maliasili na Utalii. #KaziInaendelea #ArdhiYetu