Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Uchukuzi), Atupele Mwakibete (wa pili kulia) wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilomita 112.3, Septemba 4, 2022. Wa pili kushoto ni Mkuu w Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule na kulia ni Kaimu Meja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS ) Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Salome Kabunda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Uchukuzi), Atupele Mwakibete wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilomita 112.3, Septemba 4, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Kaimu Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS ) Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Salome Kabunda ( kulia) ambaye alikuwa akisoma taarifa ya mradi wa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilomita 112.3 wakati alipokagua mendeleo ya ujenzi huo, Septemba 4, 2022. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Uchukuzi), Atupele Mwakibete na wa tatu kushoto ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu ) Caspar Mmuya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama makaravati wakati alipokagua mradi wa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilomita 112.3 wakati alipokagua mendeleo ya ujenzi huo, Septemba 4, 2022. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule na wa tatu kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Fatma Mganga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Kaimu Meneja wa Wakala wa barabara Tanzania (TANROADS ) Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Salome Kabunda ( kushoto) ambaye alikuwa akisoma taarifa ya mradi wa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilomita 112.3, Septemba 4, 2022. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitazama sampuli za udongo wakati alipotemblea maabara ya mradi wa ujenzi kwa kiwango cha lami wa barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma yenye urefu wa kilomita 112.3 , Septemba 4, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)