Hatimaye Leo tarehe 23 August ,2022 mapema asubuhi Mimi Miraji Mtaturu, Mbunge wa Singida Mashariki nimehesabiwa nikiwa nyumbani kwangu kata ya Ikungi.
Nawahimiza wote kuwasubiri makarani wafike kwenye kaya zetu kuchukua taarifa zetu na haichukui muda mrefu unakuwa umeshahesabiwa.
Sensa Kwa maendeleo ya Taifa, Hakikisha Unahesabiwa.