Bondia maarufu nchini Mandonga ametumia dakika 1 na sekunde 56 kumchakaza mpinzani wake Musa Omary usiku huu katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam kwenye kilele cha Tamasha la kihistoria la Sensabika.
MANDONGA AMCHAPA MUSA OMARY KWA DAKIKA 1 KWENYE TAMASHA LA SENSABIKA
