RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma Taarifa ya Utekelezaji wa Kazi za Mkoa wa Kusini Pemba, wakati wa mkutano wa kupokea Taarifa ya Mkoa uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo cha (ZSTC) Wawi Wilaya ya Chakechake, kabla ya kuaza kwa ziara yake leo 27-7-2022 na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Mattar Zahro Masoud.
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Mattar Zahro Masoud akiwasili taarifa ya utekelezaji wa Mpango Kazi za Mkoa wake, kabla ya kuaza kwa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika Wilaya ya Chakechake Pemba leo 27-7-2022, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo cha (ZSTC) Wawi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma Taarifa ya Utekelezaji wa Kazi za Mkoa wa Kusini Pemba, wakati Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba.Mhe.Mattar Zahro Masoud (hayupo pichani) akiwasilisha katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi. Kabla ya kuendelea na ziara yake katika Wilaya ya Chakechake Pemba leo 27-7-2022. na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Masoud Ali Mohammed na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
MAOFISA wa Serikali na wa Mkoa wa Kusini Pemba wakifuatilia Taarifa ya Utekezaji wa Kazi za Mkoa wakati Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Mattar Zahro Masoud katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi Chakechake Pemba leo 27-7-2022, kabla ya kuaza kwa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(Picha na Ikulu)