Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Hassan Hafidh akizungumza na masheha na madaktari wa Wilaya ya Magharibi A’na B’ juu ya umuhimu wa chanjo ya Uviko 19 wakati wa uzinduzi wa kuhamasisha chanjo hiyo huko Hospitali ya Kianga Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi.
Mwakilishi kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt Andamichel Ghirmay akitoa neno la shukurani kwa Wizara ya Afya Zanzibar wakati wa uzinduzi wa kuhamasisha chanjo ya Uviko 19 huko Hospitali ya Kianga Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi.
Mratibu wa chanjo ya Uviko 19 Abdulhamid Ameir Saleh akizungumza na masheha na madaktari wa Wilaya ya Magharibi A’na B’ juu ya umuhimu wa chanjo ya Uviko 19 wakati wa uzinduzi wa kuhamasisha chanjo hiyo huko Hospitali ya Kianga Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi.
Wanafunzi wa skuli za sekondari Wilaya ya Magharibi “A” wakifuatilia hafla ya Uzinduzi wa kuhamasisha chanjo ya UVIKO 19 huko Hospitali ya Kianga Wilaya ya Magharibi “A” Mkoa wa Mjini Magharibi.