Na Mwamvua Mwinyi
Naibu Waziri wa Ardhi ambaye pia ni Mbunge wa Chalinze amepongeza juhudi zinazofanywa na Serikali kwa kuwahakikishia wananchi wanaoishi Wilaya za Pembezoni mwa Bahari ya Hindi kujengewa Gati za Kupokelea Boti na majahazi.
Pia kuwezesha Wavuvi kwa kuwapatia Vifaa vya kuvulia Samaki na majengo ya Ofisi ili kuratibu shughuli zao.
Ridhiwani ameyasema hayo wakati wa ziara yake huko kijiji cha Saadani na Bagamoyo .
“Hii Ni neema kwa wananchi mnaoishi pembezoni mwa bahari ,kwa maendeleo yetu sote#KaziInaendelea #ChalinzeYetu