Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia wimbo wa hamasa kutoka kwa askari wanaolinda usalama katika zoezi la uwekaji alama za mipaka kwenye Pori Tengefu la Loliondo wilayani Ngorongoro wakati alipokagua zoezi hilo, Juni 23, 2022. Kulia ni Waziri wa Maji, Juma Aweso na katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)