Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama madawati wakati alipokagua Shule Mpya ya Msingi ya Msomera iliyojengwa na Serikali wakati alipokagua ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya huduma za jamii katika kijiji cha Msomera wilayani Handeni Mkoa wa Tanga, Juni 23, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Muonekano wa baadhi ya nyumba zilizojengwa na Serikali katika kijiji cha Msomera wilayani Handeni Mkoa wa Tanga kwa ajili ya makazi ya wananchi wanaohamia katika kijiji hicho kutoka Ngorongoro. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wa huduma mbalimbali za jamii katika eneo hilo, Juni 23, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kukagua ujenzi wa Shule Mpya ya Msingi ya Msomera iliyojengwa na Serikali wakati alipokagua ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya huduma za jamii katika kijiji cha Msomera wilayani Handeni Mkoa wa Tanga, Juni 23, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)