Home Biashara MJADALA KUKUZA UWEKEZAJI WA MAKAMPUNI YA ULAYA NCHINI WAFANYIKA ZANZIBAR

MJADALA KUKUZA UWEKEZAJI WA MAKAMPUNI YA ULAYA NCHINI WAFANYIKA ZANZIBAR

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Jumuiya ya Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Bw.Manfredo Fanti (kushoto) wakati alipowasili katika Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar katika mjadala wa Kukuza uwekezaji wa Makampuni ya Ulaya nchini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 23/06/2022

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia)  akiteta na  Balozi wa Jumuiya ya Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Bw.Manfredo  Fanti  kabla ya mjadala wa Kukuza uwekezaji wa Makampuni ya Ulaya nchini Zanzibar uliofanyika leo  katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar .[Picha na Ikulu] 23/06/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati)  akifuatana na   Balozi wa Jumuiya ya Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Bw.Manfredo  Fanti (wa pili kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Idrissa Mustafa Kitwana (kushoto) kabla ya kuingia katika  ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar   katika mjadala wa Kukuza uwekezaji wa Makampuni ya Ulaya nchini Zanzibar uliofanyika leo .[Picha na Ikulu] 23/06/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati)  pamoja na wadau mbali mbali na   Balozi wa Jumuiya ya Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Bw.Manfredo  Fanti ( kushoto) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga (wa tatu kulia) wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa katika  ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar  katika hafla ya mjadala wa Kukuza uwekezaji wa Makampuni ya Ulaya nchini Zanzibar uliofanyika leo .[Picha na Ikulu] 23/06/2022.

ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati)  pamoja na Viongozi mbali mbali, Balozi wa Netherland Nchini Mhe.Wiebe de Boer (kushoto)Balozi wa  Jumuiya ya Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Bw.Manfredo  Fanti ( wa pili kushoto) Balozi wa Netherland Nchini Tanzania Mhe.Wiebe de Boer na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga (wa tatu kulia) wakifuatilia kwa makini  mjadala wa Kukuza uwekezaji wa Makampuni ya Ulaya nchini Zanzibar uliofanyika leo ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.[Picha na Ikulu]23/06/2022.

Wadau na waalikwa mbali mbali wakiwa katika mjadala wa Kukuza uwekezaji wa Makampuni ya Ulaya nchini Zanzibar uliofanyika leo ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.[Picha na Ikulu]23/06/2022.

adau na waalikwa mbali mbali wakiwa katika mjadala wa Kukuza uwekezaji wa Makampuni ya Ulaya nchini Zanzibar uliofanyika leo ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.[Picha na Ikulu]23/06/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Balozi wa Netherland Nchini Tanzania Mhe.Wiebe de Boer wakishuhudia Utiaji saini wa Ushirikiano baina ya Serikali ya Mapinduzi na Jumuiya ya Ulaya katika mjadala wa Kukuza uwekezaji wa Makampuni ya Ulaya Nchini Zanzibar uliofanyika leo ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar (kulia) Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Uwekezaji na Vitega Uchumi ZIPA Nd,Sharif Ali Sharif na (kushoto)Mkurugenzi Mtendaji anaeiwakilisha Jumuiya hiyo Cikay Richards.[Picha na Ikulu]23/06/2022.)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika mjadala wa Kukuza uwekezaji wa Makampuni ya Ulaya nchini Zanzibar uliofanyika leo katika Ukumbi wa  Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar ambapo wadau mbali mbali wamehudhuria katika mjadala huo.[Picha na Ikulu] 23/06/2022.