Home Mchanganyiko MAJALIWA AWAAGA WANAOELEKEA MSOMERA

MAJALIWA AWAAGA WANAOELEKEA MSOMERA

0

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwaaga wananchi takribani 117 kutoka kaya 27 wanaohama kwa hiari yao wenyewe kutoka katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuelekea kijiji cha Msomera, Handeni. Katika Ofisi za Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro Karatu, Arusha Juni 23, 2022