Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul-Razaq Badru akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar (ZHELB) Idd Khamis Haji leo Jumamosi (Juni 18, 2022) wakati wa maonesho ya tatu ya elimu ya juu yanayoendelea katika viwanja vya Mapinduzi Square, Michenzani Zanzibar. HESLB inatumia fursa ya maonesho hayo kuendesha kampeni ya SIFURISHA inayolenga kuhamasisha ukusanyaji wa madeni ya mikopo ya elimu ya juu kutoka kwa wanufaika
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akibadilishana mawazo na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu ya juu Zanzibar leo Jumamosi (Juni 18, 2022) wakati wa maonesho ya tatu ya elimu ya juu yanayoendelea katika Viwanja vya Mapinduzi Square, Michenzani Zanzibar. HESLB inatumia fursa ya maonesho hayo kuendesha kampeni ya SIFURISHA inayolenga kuhamasisha ukusanyaji wa madeni ya mikopo ya elimu ya juu kutoka kwa wanufaika
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Jumamosi (Juni 18, 2022) akibadilishana mawazo na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu ya juu Zanzibar wakati wa maonesho ya tatu ya elimu ya juu yanayoendelea katika Viwanja vya Mapinduzi Square, Michenzani Zanzibar. HESLB inatumia fursa ya maonesho hayo kuendesha kampeni ya SIFURISHA inayolenga kuhamasisha ukusanyaji wa madeni ya mikopo ya elimu ya juu kutoka kwa wanufaika
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar (ZHELB) akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea banda la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Jumamosi (Juni 18, 2022) wakati wa maonesho ya tatu ya elimu ya juu yanayoendelea katika viwanja vya Mapinduzi Square, Michenzani Zanzibar. Mkurugenzi huyo wa ZHELB pia ni mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi ya HESLB. HESLB inatumia fursa ya maonesho hayo kuendesha kampeni ya SIFURISHA inayolenga kuhamasisha ukusanyaji wa madeni ya mikopo ya elimu ya juu kutoka kwa wanufaika
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) Prof. Charles Kihampa akisaini kitabu akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea banda la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Jumamosi (Juni 18, 2022) wakati wa maonesho ya tatu ya elimu ya juu yanayoendelea katika viwanja vya Mapinduzi Square, Michenzani Zanzibar. Prof. Kihampa pia ni mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi ya HESLB. HESLB inatumia fursa ya maonesho hayo kuendesha kampeni ya SIFURISHA inayolenga kuhamasisha ukusanyaji wa madeni ya mikopo ya elimu ya juu kutoka kwa wanufaika
Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) Prof. Charles Kihampa akizungumza na Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Jumamosi (Juni 18, 2022) Reuben Mardobole wakati alipotembelea Banda la HESLB wakati wa maonesho ya tatu ya elimu ya juu yanayoendelea katika viwanja vya Mapinduzi Square, Michenzani Zanzibar. Prof. Kihampa pia ni mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi ya HESLB. HESLB inatumia fursa ya maonesho hayo kuendesha kampeni ya SIFURISHA inayolenga kuhamasisha ukusanyaji wa madeni ya mikopo ya elimu ya juu kutoka kwa wanufaika
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Education Link (GEL) kulia akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul-Razaq Badru na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar (ZHELB) leo Jumamosi (Juni 18, 2022) wakati wa wa maonesho ya tatu ya elimu ya juu yanayoendelea katika viwanja vya Mapinduzi Square, Michenzani Zanzibar. HESLB inatumia fursa ya maonesho hayo kuendesha kampeni ya SIFURISHA inayolenga kuhamasisha ukusanyaji wa madeni ya mikopo ya elimu ya juu kutoka kwa wanufaika
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul-Razaq Badru (katikati) akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe Ali Abdulgulam (kushoto) wakati alipotembelea Banda la HESLB leo Jumamosi (Juni 18, 2022) katika maonesho ya tatu ya elimu ya juu yanayoendelea katika viwanja vya Mapinduzi Square, Michenzani Zanzibar. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar (ZHELB) Idd Khamis Haji. HESLB inatumia fursa ya maonesho hayo kuendesha kampeni ya SIFURISHA inayolenga kuhamasisha ukusanyaji wa madeni ya mikopo ya elimu ya juu kutoka kwa wanufaika
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Serikali ya Mapinduzi, Mhe. Ali Abdulgulam (kushoto) wakati alipotembelea Banda la Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Jumamosi (Juni 18, 2022) katika maonesho ya tatu ya elimu ya juu yanayoendelea katika viwanja vya Mapinduzi Square, Michenzani Zanzibar. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar (ZHELB) Idd Khamis Haji. HESLB inatumia fursa ya maonesho hayo kuendesha kampeni ya SIFURISHA inayolenga kuhamasisha ukusanyaji wa madeni ya mikopo ya elimu ya juu kutoka kwa wanufaika
Afisa Usafirishaji wa HESLB Juma Mohammed Ally (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa wateja mbalimbali waliotembelea Banda la HESLB leo Jumamosi (Juni 18, 2022) katika maonesho ya tatu ya elimu ya juu yanayoendelea katika viwanja vya Mapinduzi Square, Michenzani Zanzibar. HESLB inatumia fursa ya maonesho hayo kuendesha kampeni ya SIFURISHA inayolenga kuhamasisha ukusanyaji wa madeni ya mikopo ya elimu ya juu kutoka kwa wanufaika