Balozi wa Tanzania nchini Finland mwenye makazi yake nchini Sweden, Mhe. Grace Alfred Olutu na Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Balozi Mindi Kasiga wakifuatilia mazungumzo. |
Waziri wa Mambo ya Nje wa Finland, Mhe. Pekka Haavisto akieleza utayari wa Serikali ya Finland katika kuimarisha ushirikiano wa kihistoria uliopo baina ya Serikali yake na Tanzania. |
Ujumbe ulioambatana na Mhe. Haavisto ukifuatilia mazungumzo. |