Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Uzinduzi wa Shindano la Bodaboda PBZ kwa wateja watakaofanya Miamala mingi kwa Mawakala wao,hafla iliofanyika ukumbi wa Benki Kuu PBZ Mpirani Zanzibar.
Mkurugenzi Mwendeshaji PBZ Dk,Muhsin Salim Masoud akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali kuhusiana na Uzinduzi wa Shindano la Bodaboda PBZ kwa wateja watakaofanya Miamala mingi kwa Mawakala wa PBZ,hafla iliofanyika ukumbi wa Benki Kuu PBZ Mpirani Zanzibar.
Mkurugenzi Mwendeshaji PBZ Dk,Muhsin Salim Masoud akifafanua baadhi ya maswala wakati akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali kuhusiana na Uzinduzi wa Shindano la Bodaboda PBZ kwa wateja watakaofanya Miamala mingi kwa Mawakala wa PBZ,hafla iliofanyika ukumbi wa Benki Kuu PBZ Mpirani Zanzibar.
Mwandishi wa Habari wa ITV Farouk Kariym akiuliza maswali katika hafla ya Uzinduzi wa Shindano la Bodaboda PBZ kwa wateja watakaofanya Miamala mingi kwa Mawakala wa PBZ,hafla iliofanyika ukumbi wa Benki Kuu PBZ Mpirani Zanzibar.
Meneja masoko na Kuendesha Biashara PBZ Seif Suleiman Mohamed akifafanua baadhi ya maswali kwa Waandishi wa Habari katika hafla ya Uzinduzi wa Shindano la Bodaboda PBZ kwa wateja watakaofanya Miamala mingi kwa Mawakala wao,hafla iliofanyika ukumbi wa Benki Kuu PBZ Mpirani Zanzibar.
Mkurugenzi Mwendeshaji PBZ Dk,Muhsin Salim Masoud(katikati)akiwa pamoja na Viongozi wengine katika Uzinduzi wa Shindano la Bodaboda PBZ kwa wateja watakaofanya Miamala mingi kwa Mawakala wao,hafla iliofanyika ukumbi wa Benki Kuu PBZ Mpirani Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.