Wizara ya Mambo ya Nje na
Kauli hiyo imetolewa leo tarehe
Mhe. Balozi Mbarouk amesema
“Ili kuwawezesha wadau
Ameongeza kusema kuwa, AfCFTA
Pia alitumia fursa hiyo
“Nina imani kuwa kupitia
Akiwasilisha mada kuhusu
Kwa upande wake, Makamu
“Naipongeza Wizara kwa hatua |
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb) akifungua rasmi warsha ya siku moja iliyoendeshwa na Wizara kwa Wajumbe wa Kamati ya ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama kuhusu Mkataba wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA). Warsha hiyo imefanyika jijini Dodoma tarehe 29 Mei 2022. Kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Fatma Mohammed Rajab |
Sehemu ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakifuatilia uwasilishwaji wa mada kuhusu Eneo Huru la Biashara la Afrika |
Sehemu nyingine ya Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama |
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Justine Kisoka akifuatilia warsha |
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Vincent Mbogo (Mb) akishauri jambo kwa Wizara wakati wa warsha kuhusu Soko Huru la Biashara la Afrika |
Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Muharami Mkenge (Mb) akichangia jambo wakati wa warsha |
Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Abeid Ramadhani (Mb) nae akichangia jambo |
Mjumbe wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Joseph Mkindi (Mb) akitoa ushauri kwa Wizara kuhusu namna ya kunufaika na Eneo Huru la Biashara la Afrika |
Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Zahor Mohamed Haji (Mb) akichangia jambo kuhusu Eneo Huru la Biashara la Afrika |
Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Cosato Chumi (Mb) akichangia hoja |
Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Janeth Masaburi (Mb) akitoa mchango wake wakati wa warsha hiyo |
Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Abdi Hija Mkasha (Mb) nae akichangia jambo |
Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Fakharia Shomar Khamis (Mb) akitoa hoja kuchangia mada kuhusu Eneo Huru la Biashara la Afrika |
Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Mustafa Mwinyikondo Rajab (Mb) wakati wa warsha kuhusu Eneo Huru la Biashara Barani Afrika |