Katibu Mkuuu (OR), kazi , Uchumi na Uwekezaji Habiba Hassan Omar akimkaribisha mgeni rasmi Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said kufungua mafunzo ya kuwajengea uwelewa Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar juu ya mashrikiano baina ya Sekta za Umma na Sekta Binafsi (PPP) huko Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul-wakil Kikwajuni Mjini Zanzibar. PICHA NA FAUZIA MUSSA-MAELEZO ZANZIBAR.
Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena A. Said akifungua mafunzo ya kuwajengea uwelewa Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na Wilaya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar juu mashrikiano baina ya sekta za Umma na sekta Binafsi (PPP),huko Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul-wakil Kikwajuni Mjini Unguja. PICHA NA FAUZIA MUSSA-MAELEZO ZANZIBAR.
Afisa mchambuzi kutoka Idara ya mashirikiano baina ya Sekta za Umma na Sekta Binafsi (PPP) Abdi Mwalimu Shein akiwasilisha mada wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwelewa Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na Wilaya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar juu ya mashrikiano baina ya Sekta za Umma na Sekta Binafsi (PPP),huko Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul-wakil Kikwajuni Mjini Unguja. PICHA NA FAUZIA MUSSA-MAELEZO ZANZIBAR.
Afisa mchambuzi Idara ya Mashrikiano baina ya Sekta za Umma na Sekta Binafsi (PPP) Ibrahim Muhammed Salum akiwasilisha mada wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwelewa Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wa SMZ juu ya mashrikiano baina ya Sekta za Umma na Sekta Binafsi (PPP) huko Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul-wakil Kikwajuni Mjini Zanzibar. PICHA NA FAUZIA MUSSA-MAELEZO ZANZIBAR.
Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena A.Said akizingumza katika hafla ya mafunzo ya kuwajengea uwelewa Makatibu Wakuu, Manaibu Katibu Wakuu wa Wizara mbalimbali za SMZ ,Wakuu wa Mikoa pamoja na Wakuu wa Wilaya za Zanzibar juu ya mashrikiano baina ya Sekta za Umma na Sekta Binafsi PPP huko Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul-wakil Kikwajuni Mjini Unguja. PICHA NA FAUZIA MUSSA-MAELEZO ZANZIBAR.