Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu kutoka Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Bi. Teddy Donacian amewaongoza Watumishi wa Wizara hiyo kutembelea mradi wa ujenzi wa Ofisi za Umoja wa Posta Afrika katika eneo la Philips Jijini Arusha