Niabu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), akisalimiana na Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Ndg. Felschemi Mramba wakati alipowasili kwenye Monyesho ya Majukumu ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma leo tarehe 25 Mei, 2022. Wa pili kushoto ni Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Said (wapili kulia) na Niabu Mkurugenzi wa Usafirishaji TANESCO, Mhandisi Aboubakar Issa
Niabu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), akimsikiliza Meneja wa Kampuni ya GASCO (Kampuni Tanzu ya TPDC), Mhandisi Baltazari Mrosso wakati alipotembelea na kukagua Mabanda Mbalimbali katika Monyesho ya Majukumu ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma leo tarehe 25 Mei, 2022. Watatu kushoto ni Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba, Niabu Mkurugenzi wa Usafirishaji TANESCO, Mhandisi Aboubakar Issa, Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Ndg. Felschemi Mramba na Mbunge wa Bunda Vijijini, Mhe. Boniphace Getere
Niabu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), akipatiwa maelezo na Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba wakati alipotembelea na kukagua Banda la TANESCO la Mikoa yote ya KITANESCO – Dar es Salaam katika Monyesho ya Majukumu ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma leo tarehe 25 Mei, 2022.
Niabu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), akikagua Mabanda Mbalimbali wakati alipowasili kwenye Monyesho ya Majukumu ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma leo tarehe 25 Mei, 2022. Kulia ni Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba, Niabu Mkurugenzi wa Usafirishaji TANESCO, Mhandisi Aboubakar Issa na Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Ndg. Felschemi Mramba
Niabu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), akisaini kitabu cha wageni baada ya kutembelea na kukagua Mabanda Mbalimbali katika Monyesho ya Majukumu ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma leo tarehe 25 Mei, 2022.
Niabu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb), akizungumza na Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba katika Banda la Wizara hiyo wakati wa Monyesho ya Majukumu ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma
Niabu Spika wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (wane kulia) katika picha ya pamoja na Watumishi kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA), wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Mhandisi Hassan Said (watatu kushoto) wakati wa Monyesho ya Majukumu ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma leo tarehe 25 Mei, 2022. Wanne kushoto ni Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba, Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Ndg. Felschemi Mramba (watatu kulia) na Mbunge wa Bunda Vijijini, Mhe. Boniphace Getere (kulia)
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)